News And Announcements
KAD DAY
BATI MTU, MTU BATI
HATUCHOKI! (Wagalatia 6:9)
Karagwe dayosisi inatimiza miaka 47, na mwaka huu tunalenga kukusanya mabati 9000 kwa ajili ya kuezeka Makanisa ndani ya dayosisi yetu. Gharama ya kila bati ni 35,000 za kitanzania.